Nje ya pesa hao vingozi wa biashara ni wababaishaji team za Zanzibar zinaweje kusafiri wao washindwe kuna kitu wana kwama nje ya pesa na hawataki kuomba ushauriMpira Pesa,
Asante MO Dewji kwa kuifanikisha Simba Sports Club.
Nimetambua kwanini maadui wa Simba hawakupendi.
Walituumizia wachezaji wetu wanne muhimu.Ukisoma mawazo ya Wana simba utacheka sana, mara hii wanasahau makonda aliwahi wahaidi KMC fedha mechi ya yanga na wakapewa 20m
Makonda alikuwa mnazi wa simba, na yote akifanya kuishusha yanga leo kwao Wana Lia Lia kama watoto wa kambo kwamba tunakaniwa, tutavunjwa miguu hahahaha hii timu ndo maana hadi mwamedi akipigwa kdg anaizira
Hivi unapopata taarifa kwa njia ya redoo video inatoa wapi labda ungeniyliza chanzo changu Cha taarifaItakuwa vyema kwa ajili ya kumbukumbu ukiweka video/audio akiongea hayo mkuu rodrick alexander .
Kipindi Cha sport extra kilimpigia na kumhoji mkuu was mkoa kujua Kama mlezi anaisaidiaje biashara UnitedItakuwa vyema kwa ajili ya kumbukumbu ukiweka video/audio akiongea hayo mkuu rodrick alexander .
Wachezaji wenyewe legelege wale ulitaka wasiumieWalituumizia wachezaji wetu wanne muhimu.
Tena kuumizwa kwa kushindwa huhudhuria programu za kocha kwa muda mrefu na Simba ipo Club bingwa.
Kama pesa wapewe tu na wacheze mpira wa wazi sio tatizo.
Wewe unajua mchango wa Simba kwenye soka la Tanzania.
Narudia tena, kupewa pesa za motisha ni swala la kawaida.
Shida ni hiyo.
Wachezaji wanne waliumia na kukosa mechi nyingi muhimu sijui kama unaelewa.Wachezaji wenyewe legelege wale ulitaka wasiumie
Kwamba huo mchezo haukuwa na refa watu wanaumizwa makusudi refa amekaa tu
Acheni lawama za kitoto toto, wawa huwa anawachezea hovyo wenzake (tena makusudi) na TFF na marefa hukaa kimya nani amewah lalamika
Wajengeni wachezaji wenu wawe na stamina sio vile wachezaji laini hata wapemba Wana nafuu
Unaijua kazi ya refa uwanjaniWachezaji wanne waliumia na kukosa mechi nyingi muhimu sijui kama unaelewa.
Kama motisha na wapewe tu haina tatizo sijui kama unaelewa
Ulegelege wa wachezaji si hoja ya kiufundi mpira sio boxing wala mieleka.
Wachukue pesa ila wachezaji wetu ni lazima walindwe tuna mashindano muhimu
Emeelewa nilicho andika kweli. Refa ndiye anayefanya faulo uwanjani ?Unaijua kazi ya refa uwanjani
Umeandika kimbea sana dogoBiashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
Nafikiri wewe ndo huelewi mkuu nakuuliza kazi ya refa ni nini wewe unaitoa maelezo kibaoEmeelewa nilicho andika kweli. Refa ndiye anayefanya faulo uwanjani ?
Tuna mechi muhimu tunawahitaji wachezaji wakiwa na afya njema ili tutimize malengo yetu.
Ni ruksa kuwapa wachezaji motisha ya ushindi.
Motisha hizo zinapelekea baadhi ya wachezaji kuacha kucheza mpira na kuumiza wachezaji wa timu pinzani.
Hilo ndilo tunalo likemea. Kennedi kakosa mechi mbili muhimu, Sakho hadi muda huu bado majeruhi, Unyango bado majeruhi, Kannute kapona, Kapombe kapona. hao wote wameumiza katika mechi mbili tu za ligi.
Hivi we unaelewa kweli au ni shabiki oya oya ?
Wachezaji wa Simba wanafanyiwa faulo za makusudi kwa sababu wapinzani wao wanalazimisha ushindi ili wachukue zawadi walizo ahidiwa.Nafikiri wewe ndo huelewi mkuu nakuuliza kazi ya refa ni nini wewe unaitoa maelezo kibao
Basi nakubadirishia swali kazi ya kadi ni nn uwanjani?
Una mechi muhimu unawahitaji wachezaji mbona rahisi tu waweke nje kusubiri mechi muhimu (mbona ulaya wanafanya hivyo) hutaki waumie alafu unawachezesha mechi isiyo muhimu mkuu unaongea mambo gani?
Unadhani mpira ni rede ile, Hadi kutaka watu wasiumie kwamba wasikabwe ama Wakabwe ki mayai kwa kuwa mna mechi muhimu hahahahahaha we jamaa unachekesha sana
Mbeya baba yako na Mama yako Kama huna hoja pita kimyaUmeandika kimbea sana dogo
Kama faulo ni za makusudi na mbaya adhabu inajulikana ni red card na timu itacheza pungufu na itakuwa ni faida kwa simba sasa hapa unalalamika nnWachezaji wa Simba wanafanyiwa faulo za makusudi kwa sababu wapinzani wao wanalazimisha ushindi ili wachukue zawadi walizo ahidiwa.
Refa hazuii faulo bali anatoa adhabu kama ile redi kadi aliyopewa aliyemuumiza Kennedi Juma.
Nadhani hapa umeelewa.
Halafu mechi zinazofuata atacheza nani ?Kama faulo ni za makusudi na mbaya adhabu inajulikana ni red card na timu itacheza pungufu na itakuwa ni faida kwa simba sasa hapa unalalamika nn
Ingekuwa anachezewa faulo na hakuna kadi hapo sawa
Hahahaha atacheza nani yaani unauliza swali kama mtoto wa darasa la 3Halafu mechi zinazofuata atacheza nani ?
We jamaa utakuwa shabiki wa Yanga tu.
Unakumbuka Manara alivyowaambia kuwa wenye akili ni wawili tu.
Unamkumbuka kocha Lucy Ame alivyo waita ?
Nani anataka kucheza na watu pungufu ?
Nani anataka kuumiziwa wachezaji wake muhimu ?
Mchezajia akiumia watoto wake utawalisha wewe?Hahahaha atacheza nani yaani unauliza swali kama mtoto wa darasa la 3
Kwani usajili wa kikosi ni watu wangap?
Nani alikuwa anatamba kuwa na kikosi kipana kinacho weza cheza mechi 2 kwa wakati mmoja
Hahahahaha! Yaani we jamaa ni mbumbumbu fc
Makonda alifanya nini kuishusha Yanga ?Ukisoma mawazo ya Wana simba utacheka sana, mara hii wanasahau makonda aliwahi wahaidi KMC fedha mechi ya yanga na wakapewa 20m
Makonda alikuwa mnazi wa simba, na yote akifanya kuishusha yanga leo kwao Wana Lia Lia kama watoto wa kambo kwamba tunakaniwa, tutavunjwa miguu hahahaha hii timu ndo maana hadi mwamedi akipigwa kdg anaizira