Emeelewa nilicho andika kweli. Refa ndiye anayefanya faulo uwanjani ?
Tuna mechi muhimu tunawahitaji wachezaji wakiwa na afya njema ili tutimize malengo yetu.
Ni ruksa kuwapa wachezaji motisha ya ushindi.
Motisha hizo zinapelekea baadhi ya wachezaji kuacha kucheza mpira na kuumiza wachezaji wa timu pinzani.
Hilo ndilo tunalo likemea. Kennedi kakosa mechi mbili muhimu, Sakho hadi muda huu bado majeruhi, Unyango bado majeruhi, Kannute kapona, Kapombe kapona. hao wote wameumiza katika mechi mbili tu za ligi.
Hivi we unaelewa kweli au ni shabiki oya oya ?