Kivip tena.Makolo wana roho mbaya sana, wameifanyia figisu Biashara United
KiinglishNi uzembe na ujuaji mwingi ndio umewasababishia hayo. They have themselves to blame
Wakati mwingine hua nawaelewa TFF inapozibeba Simba na Yanga inapokuja suala la kuiwakilisha nchi kimataifa. Timu hizi hazijawahi na haziwezi kufanya upuuzi wa kushinwa kwenda kuwakilisha nchi pale inapokua jukumu lao kufanya hivyo kwa kisingizio cha ukata
Hivi vitimu vya msimu vinatia doa na aibu kwenye historia ya ushiriki wa vilabu vyetu michuano ya Afrika. Hii ni timu ya pili sasa baada ya Mtibwa Sugar nayo kutuaibisha 2007(kama sijakosea mwaka)
Uzembe upi?inshu ilikuwa pesa sasa unaposema eti ni uzembe wangezitoa wapi hizo pesa?safari ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo, michuano kama hiyo kama huna pesa ya uhakika lazima tu uta fail tu!!!hapa timu zinazoweza ni yanga, simba na azamu tu.kwingine huko ni lawama tu.Ni uzembe na ujuaji mwingi ndio umewasababishia hayo. They have themselves to blame
Wakati mwingine hua nawaelewa TFF inapozibeba Simba na Yanga inapokuja suala la kuiwakilisha nchi kimataifa. Timu hizi hazijawahi na haziwezi kufanya upuuzi wa kushinwa kwenda kuwakilisha nchi pale inapokua jukumu lao kufanya hivyo kwa kisingizio cha ukata
Hivi vitimu vya msimu vinatia doa na aibu kwenye historia ya ushiriki wa vilabu vyetu michuano ya Afrika. Hii ni timu ya pili sasa baada ya Mtibwa Sugar nayo kutuaibisha 2007(kama sijakosea mwaka)
Kwani Tff, jukumu lao ni kuvisaidia virabu kwenda kwenye michuano ya kimataifa?na mbona yule msemaji wao kila siku alipokuwa akihojiwa anasema tatizo sio pesa!!bali ni mchakato tu,Kama tatizo lilikuwa fedha so wangesema tuwachangie, lakini TFF lazima wawe accountable pia, kwanini washindwe kuisaidia timu uende kushiriki
ni uzembe kwa sababu mda ulikwepo ,hawa majamaa wangeandaa hata harambe watu wangechanga ,au wangeenda hata bungeni wachangwe au kuomba msaada kwenye taasisi mbalimbali ,afisa wa TFF alipokuwa anahojiwa na Azam alisema hawakusema Wana matatizo ya kifedha na wala hawakuomba msaadaUzembe upi?inshu ilikuwa pesa sasa unaposema eti ni uzembe wangezitoa wapi hizo pesa?safari ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo, michuano kama hiyo kama huna pesa ya uhakika lazima tu uta fail tu!!!hapa timu zinazoweza ni yanga, simba na azamu tu.kwingine huko ni lawama tu.
Wawajibike kwani ndiyo wenye jukumu la kusafirisha timu?Asante kwa taarifa. TFF wawajibike
Tuwe wakweli huwezi kuendesha timu kwenye michuano ya kimataifa kwa kutegemea harambee, kama wangekuwa wakweli TFF, labda ingewakopesha tu pesa, ikaja kuwakata kwenye mgao wao wa azamu, kama ndege tu hiyo ya serikali ilikuwa ni kama $ 120, 000!!kuikodi kwenye ligi wangeishi maisha magumu sana, kulilipa hilo deni, badaye tena wangeleta zogo kuwa wanashindwa kushiriki ligi vizuri!!!mpira wa sasa kama huna pesa huuwezi.ni uzembe kwa sababu mda ulikwepo ,hawa majamaa wangeandaa hata harambe watu wangechanga ,au wangeenda hata bungeni wachangwe au kuomba msaada kwenye taasisi mbalimbali ,afisa wa TFF alipokuwa anahojiwa na Azam alisema hawakusema Wana matatizo ya kifedha na wala hawakuomba msaada
Siyo jukumu la TFF kusafirisha timuKama tatizo lilikuwa fedha so wangesema tuwachangie, lakini TFF lazima wawe accountable pia, kwanini washindwe kuisaidia timu uende kushiriki
Sasa kipi afadhali ,maana baada ya mda CAF wanakuja tena na nyundo ya kuwafungia miaka miwili kushirikiTuwe wakweli huwezi kuendesha timu kwenye michuano ya kimataifa kwa kutegemea harambee, kama wangekuwa wakweli TFF, labda ingewakopesha tu pesa, ikaja kuwakata kwenye mgao wao wa azamu, kama ndege tu hiyo ya serikali ilikuwa ni kama $ 120, 000!!kuikodi kwenye ligi wangeishi maisha magumu sana, kulilipa hilo deni, badaye tena wangeleta zogo kuwa wanashindwa kushiriki ligi vizuri!!!mpira wa sasa kama huna pesa huuwezi.
Wawafungie tu, kwani kuna faida gani unashika nafasi ya kuliwakirisha taifa, unategemea misaada!!!mnaweza kuwa na wawakirishi watano lakini hawana faida bora muwe na wawili wanaojitambua na kufika mbali.Sasa kipi afadhali ,maana baada ya mda CAF wanakuja tena na nyundo ya kuwafungia miaka miwili kushiriki
Walisema Kama hawana nauli.wachangiwe?.Uzembe upi?inshu ilikuwa pesa sasa unaposema eti ni uzembe wangezitoa wapi hizo pesa?safari ya kwanza ilikuwa hivyo hivyo, michuano kama hiyo kama huna pesa ya uhakika lazima tu uta fail tu!!!hapa timu zinazoweza ni yanga, simba na azamu tu.kwingine huko ni lawama tu.