Biashara United yaondolewa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho

Walisema Kama hawana nauli.wachangiwe?.
ni siku ngapi zimepita kabla ya mechi!
wangepewa hata ndege ya serikali.kwa hatua waliyofikia walikuwa wana dhaminika
Mwanzoni hawakusema, ila ukweli ulikuja julikana badaye, kwani hao walibya walikuja vipi?eti wamekosa ndege, ndege ya serikali unapewa bure?hizo zaidi ya milioni 200, za kukodi ndege si ungekuwa mzigo mkubwa sana kwao?kifupi michuano hiyo haitaki uwe na pesa za kuunga unga
 
kuna TFF
Kuna wizara ya michezo
Kuna waziri wa michezo
kuna waziri mkuu
Nani walimwambia akakataa kuwasaidia?
milioni 200 au kupewa ndege ya serikali sio shida.
Swali Nani walimwambia awasaidie akakataa?
HUO NI UZEMBE WAO NA UPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom