Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu kama kutakuwa na mtu mzoefu wa biashara baina ya nchi hizo mbili.
Mi nilifikiria biashara ya kuchukua nguo Uturuki kuketa Tanzania, sijui wenzangu mnasemaje?