Biashara Uturuki na Tanzania

Biashara Uturuki na Tanzania

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Habari zenu wakuu,

Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu kama kutakuwa na mtu mzoefu wa biashara baina ya nchi hizo mbili.

Mi nilifikiria biashara ya kuchukua nguo Uturuki kuketa Tanzania, sijui wenzangu mnasemaje?
 
Mbona hiyo biashara wako wengi wanaoifanya,wewe ingia tu angalia maslahi yako!
 
Habari zenu wakuu,

Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu kama kutakuwa na mtu mzoefu wa biashara baina ya nchi hizo mbili.

Mi nilifikiria biashara ya kuchukua nguo Uturuki kuketa Tanzania, sijui wenzangu mnasemaje?

Angalia biashara ya vifaa vya umeme.
 
Mapambo ya ndani,nguo pamoja na accessories nyngine za kike, hivi vitu vinatoka sana
 
Habari zenu wakuu,

Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu kama kutakuwa na mtu mzoefu wa biashara baina ya nchi hizo mbili.

Mi nilifikiria biashara ya kuchukua nguo Uturuki kuketa Tanzania, sijui wenzangu mnasemaje?

Waulize Watoto wa JK Timu Yanga Nadhani Watakusaidia Sana Kujua Hali na Maisha Ya Uturuki Kiujumla.
 
Wadau nina mzigo wa nguo nataka nkachukue uko utururuki mji wa instabul msaada anayejua kampuni ya kusafirisha nguo kwa njia ya maji(cargo) Mpaka dar es salaam ambao waaminifu na cheap maana kwa ndege naona cost itakuwa juu
 
Ushaununua tayari,mwaka huu nitakuwa uko istanbul kufanya utafiti wangu wa biashara
 
Bado cjanunua mkuu ila nishapata uwakika wa adress ya maduka ntakayopata mzigo sasa bado kujua ni cargo gani ntatumia kusafirishia mzigo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Vipi kwa upande wa mashine za kilimo mfano harvesters machine, tractor za kulimia etc
 
Lkn pia kutoa mzigo huku nibora tukafanya survey ilk Linus demand .
 
Back
Top Bottom