Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Mbona hiyo biashara wako wengi wanaoifanya,wewe ingia tu angalia maslahi yako!
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu kama kutakuwa na mtu mzoefu wa biashara baina ya nchi hizo mbili.
Mi nilifikiria biashara ya kuchukua nguo Uturuki kuketa Tanzania, sijui wenzangu mnasemaje?
Angalia biashara ya vifaa vya umeme.

Mapambo ya ndani,nguo pamoja na accessories nyngine za kike, hivi vitu vinatoka sana
Nguo zinasumbua sana tra wanang'ang'ania bei sana
Wadau nina mzigo wa nguo nataka nkachukue uko utururuki mji wa instabul msaada anayejua kampuni ya kusafirisha nguo kwa njia ya maji(cargo) Mpaka dar es salaam ambao waaminifu na cheap maana kwa ndege naona cost itakuwa juu
Inalipa but ni biashara kichaapeleka sembe /madawa ya kulenya yanalipa sana.
Ushaununua tayari,mwaka huu nitakuwa uko istanbul kufanya utafiti wangu wa biashara