T Tangaone Senior Member Joined May 6, 2013 Posts 142 Reaction score 53 May 23, 2013 #1 Wadau naombeni msaada nafikiria kuanzisha agrovet amboni tanga kuna wakulima wa mboga na wafugaji wa ng'ombe naombeni mchanganuo wa mtaji na essential vibali ambavyo lazma niwe navyo mwenye idea naomba msaada
Wadau naombeni msaada nafikiria kuanzisha agrovet amboni tanga kuna wakulima wa mboga na wafugaji wa ng'ombe naombeni mchanganuo wa mtaji na essential vibali ambavyo lazma niwe navyo mwenye idea naomba msaada