Mariki boy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 359
- 1,155
Oooh namaanisha ivi Mkuu Yani pindi mafuta yanavyo chujwa Kuna mabaki pamoja na vumbi huwa zinagandia kwenye kitambaa ambacho kina chuja ayo mafuta sasa ayo mabakia yanakuwa na mafuta so wanakadilia kila gunia la 70kg huwa liter 1-1.5 Zina bakia kwenye icho kitambaa Cha kuchujia mafuta kwaiyo ukikamua liter 22 baada ya kuchuja utapata liter 21Hiyo namba sita sijakupata vyema.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu umepigwaje kwenye mpunga na mahindi kwa kukaa navyo? Share uzoefu wako tafadhali, maana Huwa navutiwa kufanya hivyoMungu akubariki sana ndugu! Mimi nilitaka nikanunue hii inayovunwa sasa hv ili nizungushie kwanza capital ili mwez wa 6 ndio nikanunue nying na mm lengo langu ni kununua na kukamua na kuuzia hapo hapo sitak stress za kuanza kusumbuana na madalali. Changamoto ya kukaa na vitu imenipiga sana kwenye mahind na mpunga.
Ndugu biashara ya mahindi ni biashara kichaa unaweza ukanunua mahindi kwa 35,000 alaf kesho unasikia 20,000 mara 45,000 yaan ni kama forex vile alaf utunzaji wake ni gharama sana mpaka unakuja kuuza faida ni ndogo mno na ata wateja tu unaanza kuwabembeleza.Mkuu umepigwaje kwenye mpunga na mahindi kwa kukaa navyo? Share uzoefu wako tafadhali, maana Huwa navutiwa kufanya hivyo
wewe ni adui wa mkulima sasa hv jana tu nimetoka Godown lita 20 inauzwa 137,000 tena haikai ata kdg yaan ukikamua tu inaondoka
Wapi huko na sisi tuje kuuza maana hapa mjini lita tano inauzwa 31,000 maana yake lita 20 ni125,000wewe ni adui wa mkulima sasa hv jana tu nimetoka Godown lita 20 inauzwa 137,000 tena haikai ata kdg yaan ukikamua tu inaondoka
Duuh pole sana mkuu, kwenye mpunga hapo vipi kununua na kutunza au kuuza moja kwa moja?Ndugu biashara ya mahindi ni biashara kichaa unaweza ukanunua mahindi kwa 35,000 alaf kesho unasikia 20,000 mara 45,000 yaan ni kama forex vile alaf utunzaji wake ni gharama sana mpaka unakuja kuuza faida ni ndogo mno na ata wateja tu unaanza kuwabembeleza.
Mpunga nalima mwaka jana bei ilituangusha ila mwaka huu ukame ndio changamoto mpaka sasa hv nishakausha hekar 5
Mji gani mkuu?Wapi huko na sisi tuje kuuza maana hapa mjini lita tano inauzwa 31,000 maana yake lita 20 ni125,000
Mungu akubariki sana ndugu! Mimi nilitaka nikanunue hii inayovunwa sasa hv ili nizungushie kwanza capital ili mwez wa 6 ndio nikanunue nying na mm lengo langu ni kununua na kukamua na kuuzia hapo hapo sitak stress za kuanza kusumbuana na madalali. Changamoto ya kukaa na vitu imenipiga sana kwenye mahind na mpunga.
Sema mbali sana huko labda ndiyo sababuviwanda vya sido mbeya
ArushaMji gani mkuu?