Mariki boy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 359
- 1,155
Oooh namaanisha ivi Mkuu Yani pindi mafuta yanavyo chujwa Kuna mabaki pamoja na vumbi huwa zinagandia kwenye kitambaa ambacho kina chuja ayo mafuta sasa ayo mabakia yanakuwa na mafuta so wanakadilia kila gunia la 70kg huwa liter 1-1.5 Zina bakia kwenye icho kitambaa Cha kuchujia mafuta kwaiyo ukikamua liter 22 baada ya kuchuja utapata liter 21Hiyo namba sita sijakupata vyema.
#MaendeleoHayanaChama