notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 May 20, 2022 #1 Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi: Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri? Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh. ngapi? Je kuisafirisha kutoka mikoani kwenda kuiuza Dar kuna ulazima niwe na kibali? Bei ya kuuza Ikoje? Lita sh.ngapi kuuza? Changamoto za biashara hii ni zipi? Kwa Dar es Salaam soko lake liko wapi? N.b; Nataka kuanza kuifanya hii biashara, naomba wazoefu waje kutoa muongozo. Karibuni.
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi: Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri? Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh. ngapi? Je kuisafirisha kutoka mikoani kwenda kuiuza Dar kuna ulazima niwe na kibali? Bei ya kuuza Ikoje? Lita sh.ngapi kuuza? Changamoto za biashara hii ni zipi? Kwa Dar es Salaam soko lake liko wapi? N.b; Nataka kuanza kuifanya hii biashara, naomba wazoefu waje kutoa muongozo. Karibuni.
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 May 20, 2022 #2 Majibu yatakayotolewa hapa,yatasaidia sana na wengine.
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 May 20, 2022 Thread starter #3 ki2c said: Majibu yatakayotolewa hapa,yatasaidia sana na wengine. Click to expand... Kabisa mkuu
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 May 20, 2022 Thread starter #4 MUTUYAMUNGU said: Siti ya mbele. Nasikia Tabora na Chunya/Mbeya kuna mzigo wa kutosha. Click to expand... Tabora ipo nzuri, japo kuna wahuni wachache wanachakachua. Ila ukiifahamu asali yenyewe og ni rahisi kung'amua kama ni feki au la
MUTUYAMUNGU said: Siti ya mbele. Nasikia Tabora na Chunya/Mbeya kuna mzigo wa kutosha. Click to expand... Tabora ipo nzuri, japo kuna wahuni wachache wanachakachua. Ila ukiifahamu asali yenyewe og ni rahisi kung'amua kama ni feki au la
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 May 20, 2022 Thread starter #5 Nasikia hata Manyara ipo nzuri, sema sina mwenyeji huko. Natumai wapo wadau humu wenye ufahamu wa hili
Nasikia hata Manyara ipo nzuri, sema sina mwenyeji huko. Natumai wapo wadau humu wenye ufahamu wa hili
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 May 20, 2022 Thread starter #6 Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi: Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri? Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh. ngapi? Je kuisafirisha kutoka mikoani kwenda kuiuza Dar kuna ulazima niwe na kibali? Bei ya kuuza Ikoje? Lita sh.ngapi kuuza? Changamoto za biashara hii ni zipi? Kwa Dar es Salaam soko lake liko wapi? N.b; Nataka kuanza kuifanya hii biashara, naomba wazoefu waje kutoa muongozo. Karibuni.
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi: Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri? Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh. ngapi? Je kuisafirisha kutoka mikoani kwenda kuiuza Dar kuna ulazima niwe na kibali? Bei ya kuuza Ikoje? Lita sh.ngapi kuuza? Changamoto za biashara hii ni zipi? Kwa Dar es Salaam soko lake liko wapi? N.b; Nataka kuanza kuifanya hii biashara, naomba wazoefu waje kutoa muongozo. Karibuni.
B Bwe New Member Joined Jul 27, 2022 Posts 3 Reaction score 1 Nov 8, 2022 #7 Nauza portable refractometer kwa wale wanaonunua asali,ni kipimo cha asali kinachokuonyesha ubora wa asali kwa kufahami kiwango cha maji na sukari iliyomo ndani ya asali. Karibuni sana 0687-220214
Nauza portable refractometer kwa wale wanaonunua asali,ni kipimo cha asali kinachokuonyesha ubora wa asali kwa kufahami kiwango cha maji na sukari iliyomo ndani ya asali. Karibuni sana 0687-220214