Biashara ya Asali mbichi, faida na changamoto zake

Biashara ya Asali mbichi, faida na changamoto zake

notyfeky

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
713
Reaction score
730
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi:
  • Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri?
  • Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh. ngapi?
  • Je kuisafirisha kutoka mikoani kwenda kuiuza Dar kuna ulazima niwe na kibali?
  • Bei ya kuuza Ikoje? Lita sh.ngapi kuuza?
  • Changamoto za biashara hii ni zipi?
  • Kwa Dar es Salaam soko lake liko wapi?
N.b;
Nataka kuanza kuifanya hii biashara, naomba wazoefu waje kutoa muongozo.
Karibuni.
 
Majibu yatakayotolewa hapa,yatasaidia sana na wengine.
 
Nasikia hata Manyara ipo nzuri, sema sina mwenyeji huko. Natumai wapo wadau humu wenye ufahamu wa hili
 
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi:

  • Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri?
  • Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh. ngapi?
  • Je kuisafirisha kutoka mikoani kwenda kuiuza Dar kuna ulazima niwe na kibali?
  • Bei ya kuuza Ikoje? Lita sh.ngapi kuuza?
  • Changamoto za biashara hii ni zipi?
  • Kwa Dar es Salaam soko lake liko wapi?

N.b;
Nataka kuanza kuifanya hii biashara, naomba wazoefu waje kutoa muongozo.
Karibuni.
 
Nauza portable refractometer kwa wale wanaonunua asali,ni kipimo cha asali kinachokuonyesha ubora wa asali kwa kufahami kiwango cha maji na sukari iliyomo ndani ya asali.
Karibuni sana 0687-220214
 
Back
Top Bottom