Biashara ya asali nchi ya Komoro

Biashara ya asali nchi ya Komoro

Mkuu hawa wachina wanao nunua asali wako dar?kwangu lt 100 haikosekani
Ukienda ubalozi wao utapata information zaidi au tembelea tovuti yao kama sikosei

Pia kuna mdau alishawahi kupost hapa link ya uhitaji wa asali, karanga pamoja na maharage ya soya
 
Mmmh nauzee wangu huuu hili neno ndio nimelisikia kwako mkuuu
Juo ndio ukweli tunaila sisi watanzania lakini huwezi kuiuza nje ya nchi zinazojali raia wake,huwa wanapima kila chakula kinachoingia,asali ya tabora haiuziki nje
 
Mkuu Comoro kuna soko zuri la kila kitu. Fikiria wewe hawa watu wananunua mpaka Azam Cola zinasafirishwa kwenda kule. Tatizo la Comoro ni kuwa biashara wafanye wao wenyewe tu na sio wewe mgeni kule kwao. Hawana ushirikiano mzuri kwa wafanyabiashaea wageni. Hii ni taarifa ya kuaminika kutoka kwa Watanzania wenye asili ya kule!
Duuuh
 
Back
Top Bottom