Biashara ya asali nchi ya Komoro

Asali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumizi
Mmmh nauzee wangu huuu hili neno ndio nimelisikia kwako mkuuu
 
Mkuu hawa wachina wanao nunua asali wako dar?kwangu lt 100 haikosekani
Ukienda ubalozi wao utapata information zaidi au tembelea tovuti yao kama sikosei

Pia kuna mdau alishawahi kupost hapa link ya uhitaji wa asali, karanga pamoja na maharage ya soya
 
Mmmh nauzee wangu huuu hili neno ndio nimelisikia kwako mkuuu
Juo ndio ukweli tunaila sisi watanzania lakini huwezi kuiuza nje ya nchi zinazojali raia wake,huwa wanapima kila chakula kinachoingia,asali ya tabora haiuziki nje
 
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…