Biashara ya Asali

Asali ya nyuki wadogo inapatkana/kuvunwa wap kwa wingi? Kwa anaejua tafadhal
 
Wachina na waganda wanavamiaga msimu wa mavuno kule katavi asali imekua shida kuiotea
 
Asantee mkuu...... Hyo 70-80 ni kwa lita ngap?!!.... Ni nyuki gan!??
Mimi ninayo asali pure ya nyuki wakubwa ni nzuri kabisa haigandi hata kipindi Cha baridi Bei inaanzia Lita 5 ambaye ni 60000. Na pia tunayo mpaka tan 1. +255763469684 kwa mawasiliano zaidi. Asante
 
Mkuu habari, nina asali nyingi sana ya nyuki wa dogo na wakubwa njoo inbox tuyajenge niandikie namba yako nikucheki na naweza kukuletea hadi ulipo maana mimi nafanya biashara huku na familia yangu ipo same so kila baada ya wiki mbili lazima nije na usafiri ni wa kwangu so unaweza save gharama kwa kiasi fulani. asante
 
Kuna mdada yupo kenya rafiki yangu anafanya hiyo biashara na anaijua sn kama unataka nikhunganishe atakupa somo zuri kwa maswali yako yote
Mkuu @jivalue99 saidia kuniunganisha na huyo mdada plz..
 
Mimi ninayo asali pure ya nyuki wakubwa ni nzuri kabisa haigandi hata kipindi Cha baridi Bei inaanzia Lita 5 ambaye ni 60000. Na pia tunayo mpaka tan 1. +255763469684 kwa mawasiliano zaidi. Asante
Mkuu naomba msaada wa utofauti kati ya asali inayoganda na isiyoganda
 

Mkuu bei ya Asali ya nyuki wadogo kwa jumla na reja reja yaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…