Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu mkoa wa Tabora,ingawa nasikia lita 1 inauzwa kuanzia Tsh. 25,000 na kuendelea.Asali ya nyuki wadogo inapatkana/kuvunwa wap kwa wingi? Kwa anaejua tafadhal
Mimi ninayo asali pure ya nyuki wakubwa ni nzuri kabisa haigandi hata kipindi Cha baridi Bei inaanzia Lita 5 ambaye ni 60000. Na pia tunayo mpaka tan 1. +255763469684 kwa mawasiliano zaidi. AsanteAsantee mkuu...... Hyo 70-80 ni kwa lita ngap?!!.... Ni nyuki gan!??
Mkuu @jivalue99 saidia kuniunganisha na huyo mdada plz..Kuna mdada yupo kenya rafiki yangu anafanya hiyo biashara na anaijua sn kama unataka nikhunganishe atakupa somo zuri kwa maswali yako yote
Mkuu naomba msaada wa utofauti kati ya asali inayoganda na isiyogandaMimi ninayo asali pure ya nyuki wakubwa ni nzuri kabisa haigandi hata kipindi Cha baridi Bei inaanzia Lita 5 ambaye ni 60000. Na pia tunayo mpaka tan 1. +255763469684 kwa mawasiliano zaidi. Asante
Mkuu habari, nina asali nyingi sana ya nyuki wa dogo na wakubwa njoo inbox tuyajenge niandikie namba yako nikucheki na naweza kukuletea hadi ulipo maana mimi nafanya biashara huku na familia yangu ipo same so kila baada ya wiki mbili lazima nije na usafiri ni wa kwangu so unaweza save gharama kwa kiasi fulani. asante