biashara ya asali

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
Habarini wanajamvi
Nina mpango wa kufanya biashara ya asali na nimefanikiwa kupata mtu wa kuniletea tayari kwa ajili ya mimi kufanya packing na kuuza,lakini nimekwama katika process za kuibrand asali yangu ili niweze kuuza kwa wateja wakubwa kama supermarkets,tafadhali kwa mwenye uzoefu na ujuzi anipe maelekezo ya hatua zipi za kuchukua nifikie malengo hayo.
nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…