MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 115
Wakuu habari zenu.
Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kufanya biashara ya asali, hapa Dar ila bado ndoto yangu haijafanikiwa kwa kukosa mtaji wa biashara. Kwa Dar peke yake kuna soko kubwa sana kwa kupitia mikakati ya masoko niliyonayo kichwani.
OMBI LANGU:
Kwa kuwa mimi binafsi nimeshindwa kuwa na mtaji, naomba kama kuna mtu ana mtaji au kama kuna mtu anafanya biashara ya asali na hawezi kupata soko, naomba tushirikiane kwa makubaliano maalumu juu ya malipo kuuza biashara hiyo, au kama unamtaji unaweza ukatoa mtaji mimi mimi nikasimamia hiyo biashara na kisha faida tukagawana kwa makubaliano maalumu.
Mimi nipo DAR kwa maelezo zaidi na mawasiliano ni PM.