Biashara ya Asali

Biashara ya Asali

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
115
Wakuu habari zenu.

Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kufanya biashara ya asali, hapa Dar ila bado ndoto yangu haijafanikiwa kwa kukosa mtaji wa biashara. Kwa Dar peke yake kuna soko kubwa sana kwa kupitia mikakati ya masoko niliyonayo kichwani.

OMBI LANGU:
Kwa kuwa mimi binafsi nimeshindwa kuwa na mtaji, naomba kama kuna mtu ana mtaji au kama kuna mtu anafanya biashara ya asali na hawezi kupata soko, naomba tushirikiane kwa makubaliano maalumu juu ya malipo kuuza biashara hiyo, au kama unamtaji unaweza ukatoa mtaji mimi mimi nikasimamia hiyo biashara na kisha faida tukagawana kwa makubaliano maalumu.

Mimi nipo DAR kwa maelezo zaidi na mawasiliano ni PM.
 
Mtaji unadhani utakuwa kiasi gani kwa estimation ?, au hapo ulipo unadhani unaweza kuuza lita ngapi kwa muda gani au mtu akikufikishia mzigo hapo dar ulipo unaweza ukauchukua kwa tshs ngapi kabla ya kuuza na wewe kupata faida (kama mtu anaweza akakuletea wa mali kauli / credit na wewe kulipa baada ya kuuza mzigo).

Sio kwamba ninayo asali hapa ila ukijibu maswali hayo nadhani unaweza ukaongeza wigo wa kupata partners
 
kwa kuanza naweza kuuza lita 500 kwa wiki, ila zitaweza kupanda kwa kila kipindi, mi nitakachokifanya nitapackage tena kwa ujazo tofauti tofauti kwa kulingana na wateja ninaowaona. mtu akiwa na mtaji hata wa milion tano au tatu siyo mbaya au kama kuna mtu anaweza kunionganisha na mkulima siyo mbaya.
 
Pia ili wewe uweze kusukuma mzigo kwa haraka na bila shida mfano kama mtu anakuletea mzigo mpaka Dar hapo ulipo lita moja isizidi kiasi gani (Bei) ? Hii itanisaidia kuwauliza watu kitaa kama wanaweza waka-meet bei zako na wenyewe wapate faida, kuna mtu namjua alikuwa ananunua Asali Tabora naweza kumuuliza bei za kule na kama angeweza kuleta mpaka Dar kwa bei hiyo unayosema na wewe kumlipa kila baada ya wiki kwa bei mtakayopatana akuuzie.

Pia unapendelea package gani au hata akiweka kwenye madumu au ndoo za lita 20 its okay
 
Lita moja ya asali ni bei gani kwa Dar es salaam?
wakuu habari zenu! kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kufanya biashara ya asali, hapa dar ila bado ndoto yangu haijafanikiwa kwa kukosa mtaji wa biashara. kwa dar peke yake kuna soko kubwa sana kwa kupitia mikakati ya masoko niliyonayo kichwani, OMBI LANGU: kwa kuwa mimi binafsi nimeshindwa kuwa na mtaji, naomba kama kuna mtu ana mtaji au kama kuna mtu anafanya biashara ya asali na hawezi kupata soko, naomba tushirikiane kwa makubaliano maalumu juu ya malipo kuuza biashara hiyo, au kama unamtaji unaweza ukatoa mtaji mimi mimi nikasimamia hiyo biashara na kisha faida tukagawana kwa makubaliano maalumu. mimi nipo DAR kwa maelezo zaidi na mawasiliano ni PM.
 
Pia ili wewe uweze kusukuma mzigo kwa haraka na bila shida mfano kama mtu anakuletea mzigo mpaka Dar hapo ulipo lita moja isizidi kiasi gani (Bei) ? Hii itanisaidia kuwauliza watu kitaa kama wanaweza waka-meet bei zako na wenyewe wapate faida, kuna mtu namjua alikuwa ananunua Asali Tabora naweza kumuuliza bei za kule na kama angeweza kuleta mpaka Dar kwa bei hiyo unayosema na wewe kumlipa kila baada ya wiki kwa bei mtakayopatana akuuzie.

Pia unapendelea package gani au hata akiweka kwenye madumu au ndoo za lita 20 its okay

mkuu lita moja izidi elfu nane(8000). aniletee kwenye madumu au ndoo n.k pia mi nitapakage mwenyewe, ila kama yeye kapackage sio mbaya amaweza kuniletea. matumaini yangu umenielewa
 
mkuu lita moja izidi elfu nane(8000). aniletee kwenye madumu au ndoo n.k pia mi nitapakage mwenyewe, ila kama yeye kapackage sio mbaya amaweza kuniletea. matumaini yangu umenielewa
Poa Mkuu, ngoja nikuulizie kwa wadau huko Tabora na kwingineko nikipata mtu nitaku-contact.., cha maana ni uaminifu na kama unao uwezo wa kuwa umemaliza mzigo within a week nadhani credit ya kupewa mzigo na malipo baada ya wiki sio mbaya
 
Mi naulizia sehemu ambayo naweza pata practical training jinsi ya kuzalisha asili hapa Dar. Na ikiwezekana nipate na nafasi ya kutembelea miradi hiyo. Naombeni mnisaidie wadau, hata kama ni solo entrepreneur.
 
wakuu nami kama kuna mtu anaweza kunionganisha na mkulima wa asali anisaidie nataman nami nijihusishe na hii biashara tafadhari!!
 
Katika utafiti wako ni asali ya wapi wanayopendelea wateja wako?

Kwavile umesema hii ni ndoto yako hivyo nina imani unajua machimbo yote ya asali,je uko tayari kumlengesha mtu akafuate mzigo na kuja kukukabidhi kwavile wewe huna mtaji?
 
mkuu lita moja izidi elfu nane(8000). aniletee kwenye madumu au ndoo n.k pia mi nitapakage mwenyewe, ila kama yeye kapackage sio mbaya amaweza kuniletea. matumaini yangu umenielewa
Kuna nimemuuliza anataka kujua kama unataka asali mbichi au iliyochemshwa ?
 
Mkuu Mtoto wa kitaa

Bado ninaulizia Bei kwa watu tofauti na nimepata changamoto kadhaa...
Kuna mdau ninayemfahamu amenipa bei ila anasema inategemea wakati wa mavuno huwa bei inashuka ila kwa sasa akanipa bei ambayo kwa mimi nimeona ni kubwa kwa Tabora, Kuna mdau yupo sehemu nyingine kanipa bei ambayo nimeona ni ndogo sana ukilinganisha na yule wa Tabora (Hii imenipelekea kuona kwamba huenda huyu mwenye ndogo anachakachua na mzigo wake sio Pure)

Jambo jingine kuna mdau alikuwa anafanya hii biashara kwa sana ameniambia kusafirisha Asali ndani au nje ya nchi zaidi ya madumu kama 10 unahitaji kibali (Je hii ni kweli kutokana na uzoefu wako ?) na Ugumu / Urahisi na Cost ya kupata kibali ni kiasi gani
 
Last edited by a moderator:

mkuu ni kweli wanataka kibali kwa madumu mengi, ila bei ya kibali imategemea na wingi wa madumu, huyo mwenye bei ya chini achananae atakuwa amechakachua
 
Last edited by a moderator:
mkuu ni kweli wanataka kibali kwa madumu mengi, ila bei ya kibali imategemea na wingi wa madumu, huyo mwenye bei ya chini achananae atakuwa amechakachua
Kwani unakata kibali kwa kila consignment; yaani kila ukisafirisha mzigo, au unakuwa nacho kibali permanent unakilipia maybe fee kwa mwaka?
 
mi hiyo biashara nimefanya ila niliacha kutokana na matatizo ya hapa na pale ila uwezo wakupata asali upo na yakutosha ila tatizo ni mtaji ukiwa na mtaji nitakuwekea hoda kwa wale wakulima wangu wa zamani na utapata ila inapatikana singida ndani vijijini kabixa wanalima wasukuma na wamang'ati mi nipo arusha kwa bei ya arusha naona ipo juu kuliko huko dar
 
Mkuu kama upo Serious kabisa na hii Biashara na Bado hujapata Mahali pakununua tuwasiliane nikuunganishe na Wakulima ninafahamiana na Wakulima Wengi toka Maeneo mbalimbali tena Wanahitaji sana Masoko ya Asali Chamuhimu uwe Mwaminifu maana Binadamu kwa Sasa Tumeuvua Utu na Kujivika Uadui. kama vip nakuPM Email Add yangu sasa hivi.
 
mawazo yako safi sana...ningekua na mtaji ningekupiga taff kaka ila usikate tamaa utafanikiwa tu
 
Back
Top Bottom