Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Umetumia method gani kufanya research, qualitative au quantitative?Nimegundua kuwa ATM inaweza kumilikiwa na mtu yeyote, kwa kuinunua mashine hiyo ambayo huuzwa kwa kati ya USD 2100 na kuendelea kisha utaweka pesa kuanzia USD 500 baada ya kufuata taratibu zote za kibiashara. Faida yake hupatikana kwa kulipwa kiasi Fulani Cha pesa kwa Kila transaction kama mmiliki was mashine hiyo.