0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 65
- Thread starter
-
- #21
Daaah sawa mkuu hao watu ni hatari sana, kwa Zanzibar ni maeneo gani? na je gharama za usafirishaji unazifahamu za mzigo kutoka Zenji hiyo ya Ushuru tunaweza pambana nao kiume...Hizo bidhaa Zanzibar zinauzwa bei rahisi mnoo.
Wauzaji wa jumla wa dar wanaziuza bei ghali.
Kama unaweza fuata mzigo Zenji ila jiandae kukabana na watoza ushuru.
Hiyo biashara nzuri na ukiwa serious unaweza zungusha pesa hapo kama uko Dar maduka ya jumla yapo Karibu na ukuta wa shule ya jamuhuri! !!!!!!!
Pia karibu na hospitali ya Dr Ameer next building ukiwa unaelekea Msimbazi kutokea Morogoro road kuna duka linauza jumla na reja reja!!!!!
Kuhusu zipi nzuri inategemea na mtumiaji wanangu wametumia Molfix na sijawahi kujuta!!!!
Molfix is good too hun.
Their baby wipes smell so good.
But wipes za Sleepy ndo nzuriiiiiii. They have some protective lotion.
Baby Dipers, kuna original na fake karibu kwa kila brand! Wafanya biashara wakubwa Kariakoo....wakiona brand fulani inauzika sana, wanaenda China faster kutengeneza fake yake! Hivyo ni kazi kwa final consumer kuwa mwangalifu!
Eti nina idea ya kuanza biashara hiyo hapa bongo naagiza toka china na brand ina kua yangu plus jina pia naomba ushauri je ntafanikiwa kwa hapa tanzania au niache tu nisije ingia hasara.. Msaada jamani
Eti nina idea ya kuanza biashara hiyo hapa bongo naagiza toka china na brand ina kua yangu plus jina pia naomba ushauri je ntafanikiwa kwa hapa tanzania au niache tu nisije ingia hasara.. Msaada jamani
MKUU pumpers zipo za aina nyingi,pia aina size mbalimbali.hivyo ungeeleza unahitaji za aina ganiKwa yeyote anayejua bei ya jumla ya pumpers China na ushuru wake kwa contena la ft20 anijuze,natanguliza shukrani
MKUU pumpers zipo za aina nyingi,pia aina size mbalimbali.hivyo ungeeleza unahitaji za aina gani
Search alibaba kuna kila kitu na bei zake kaka!
Pumpers ndio nini jamani?
Baby Diapers
Hizo bidhaa Zanzibar zinauzwa bei rahisi mnoo.
Wauzaji wa jumla wa dar wanaziuza bei ghali.
Kama unaweza fuata mzigo Zenji ila jiandae kukabana na watoza ushuru.