0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 65
- Thread starter
- #21
Daaah sawa mkuu hao watu ni hatari sana, kwa Zanzibar ni maeneo gani? na je gharama za usafirishaji unazifahamu za mzigo kutoka Zenji hiyo ya Ushuru tunaweza pambana nao kiume...Hizo bidhaa Zanzibar zinauzwa bei rahisi mnoo.
Wauzaji wa jumla wa dar wanaziuza bei ghali.
Kama unaweza fuata mzigo Zenji ila jiandae kukabana na watoza ushuru.