Biashara ya barafu

Biashara ya barafu

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Soko limekaa vipi kwa jiji la Dar?

Mabonge ya barafu kwa wauza maji wauza samaki n.k.

Kuna jamaa anataka kufunga machine za kufyatulia barafu.
 
Kuna sehemu barafu ni Dili balaa hii Nchi Ina Siri nyingi za biashara, sehemu ambazo Mchana Jua linapiga usipime barafu zinauzika sana wauza barafu wanapiga hela balaa
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Ipo kwenye my todolist hii biashara, naimani inalipa.
 
Back
Top Bottom