The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mkuu hali ni ngumu, serikali iangalie hii ishu😂😂😂
Hauko siriaz kwaiyo unataka Corona iendelee ufanye biashara na umalize mzigo.
Sasa saivi hata 400 watu hawanunui tena na tatzo limeanzia kwenye takwimuWatu waliuza barakoa Hadi 5000 kwa piece moja.
Yuko njiani anakuja mjini.Korona ipo akili za kuambiwa changanya na zako, mbona harudi LUTHULI??
Watu washasahau hayo mashart, wangekua wanatilia maanani hata biashara ingeenda vizuriCha muhimu watu waendelee kufata masharti.
Siyo tutakutana mbele, Janga bado halijaisha, usisikilize viongozi.Umesahau kila jambo lina majira yake wewe upo kwenye majira ya kuomboleza majira ya kusheherekea yameisha
Mkuu kila mtu anapambania tonge lake.Biashara asubuhi, mlipiga hela ile mapema ila kwa sababu ya tamaa hamridhiki.... mngetamani corona iendelee kushika kasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu tumegoma kuvaa barakoa bali tunajifukizaa tuMkuu kila mtu anapambania tonge lake.
Siyo tunatamani corona iendeleee bali serikali ipige kelele watu wachukue tahdhar ili mambo yakae sawa
Mkuu kila mtu anapambania tonge lake.
Siyo tunatamani corona iendeleee bali serikali ipige kelele watu wachukue tahdhar ili mambo yakae sawa
nimeanalia nimerudia rudia we! mwisho umepatikana mbadala wa matumizi yake!Njia ni kubuni matumizi mapya ya Barakoa; kama haya.
View attachment 1454925