Biashara ya Barber Shop

Biashara ya Barber Shop

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,416
Reaction score
12,618
Baada ya kuona hali ya kimaisha inazidi kuwa ngumu nimeamua rasmi nijikite katika ujasiriamali, na biashara ya kwanza ninayoifikiria ni Barber Shop (Saluni za kiume za kisasa).

Kwa memba yeyote anayeifahamu hii biashara kwa ufasaha zaidi anisaidie mchanganuo, pia kama kuna mtu amesikia saluni inauzwa ani-pm tafadhari.

Shida huleta maarifa.
 
Mimi pia nina wazo hilo, please wadau....
 
Back
Top Bottom