Biashara ya Barbershop

Biashara ya Barbershop

Umuntungabantu

New Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Kwema wazee!

Naomba kujua machache kuhusu biashara ya saloon classic za kiume barbershop.
  • Mtaji kiasi gani?
  • Maeneo yapi ya jiji la Dar zinalipa?
  • Je, mimi ndo nawalipa vinyozi au wao wananipa mimi hesabu?
  • Ukiwa na scrub na massage unachukua kiasi gani kwa wale wa Dada na kwa vinyozi?
Asante sana.
 
Back
Top Bottom