Umuntungabantu
New Member
- Nov 30, 2022
- 1
- 0
Kwema wazee!
Naomba kujua machache kuhusu biashara ya saloon classic za kiume barbershop.
Naomba kujua machache kuhusu biashara ya saloon classic za kiume barbershop.
- Mtaji kiasi gani?
- Maeneo yapi ya jiji la Dar zinalipa?
- Je, mimi ndo nawalipa vinyozi au wao wananipa mimi hesabu?
- Ukiwa na scrub na massage unachukua kiasi gani kwa wale wa Dada na kwa vinyozi?