Biashara ya batteries

Biashara ya batteries

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
2,428
Reaction score
3,937
Ninafikiria kufanya biashara ya battery fulani ambazo zinapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa mtumiaji ila sina uhakika kama soko ni kubwa kihivyo. Hivi ni biashara gani zina matumizi ya kila siku ya AA na AAA batteries?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom