Biashara ya boda boda

Biashara ya boda boda

Changamoto kupata hao abiria 16 kwa siku, wakati mwingine unaweza kupata abiria wawili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan mkuu. mimi kuna sehemu nafanya kazi lkn Mara baada ya mda wa kazi naanza kupiga bodaboda kuanzia saa 12 join hadi saa sita usiku narudi kulala, Nina mwaka sasa lkn sijawahi kupata chini ya elfu 8/day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Wengi wanaishia kulalamika na kuziuza sijui tatizo linakuwaga wapi!?
 
Mimi mwenyewe nimenunua boda boda moja nimempa dereva kwa mkataba na Nina mpango wa kuongeza nyingne.
Mimi hii biashara naipenda kwa sababu hainipotezei muda wangu kwa sababu hata nikiwa mbali pesa yangu natumiwa kwa njia ya simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhan mkuu. mimi kuna sehemu nafanya kazi lkn Mara baada ya mda wa kazi naanza kupiga bodaboda kuanzia saa 12 join hadi saa sita usiku narudi kulala, Nina mwaka sasa lkn sijawahi kupata chini ya elfu 8/day

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm mwenyewe nimeshangaa eti abiria wawili kwa siku,tuacheni kudanganya watu,mm nafanya kama ww na nipo kijijini huku kila nikitoka job sikosi 5000 na nafanya saa kumi mpk saa mbili au tatu usiku....hakuna biashara rahisi aiseee cha maana ni kuwa mwelewa wa unachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa dada, fanya hivi, nunua piki pibodaki mkabidhi kijana kwa makubaliano kuwa baada ya muda fulani litakuwa la kwake(huo muda uzingatie return ya hiyo biashara). Kwa mfano tuassume baada ya mwaka utamwachia, kama kijana atakuwa anakuletea 20000/day, tuassume atafanya kazi siku 6 katka wiki that means
Per week:120000.
Per month:480000.
Per year: 5,760,000.
Gharama za matengenezo na kila kitu itakuwa juu yake. B'aada ya mwaka piki piki yako itakuwa imezalisha zaidi ya mara 3 ya mtaji.

sawa dada, fanya hivi, nunua piki piki mkabidhi kijana kwa makubaliano kuwa baada ya muda fulani litakuwa la kwake(huo muda uzingatie return ya hiyo biashara). Kwa mfano tuassume baada ya mwaka utamwachia, kama kijana atakuwa anakuletea 20000/day, tuassume atafanya kazi siku 6 katka wiki that means
Per week:120000.
Per month:480000.
Per year: 5,760,000.
Gharama za matengenezo na kila kitu itakuwa juu yake. B'aada ya mwaka piki piki yako itakuwa imezalisha zaidi ya mara 3 ya mtaji.
Kwa hiyo bodaboda nampa bure
 
Back
Top Bottom