Biashara ya bodaboda pamoja na vipodozi

hermanjose

New Member
Joined
Feb 28, 2020
Posts
2
Reaction score
2
Habarini ndugu natumaini mu wazima!

Lengo la kuomba ushauri kuhusu biashara hizi ni kwa vile sina uzoefu nazo lakini nimetokea kuvutiwa nazo kutokana na hesabu ambazo nimekuwa nikizipiga.

Napo bodaboda ndio target kubwa hasa ningependa kupata ushauri zaidi juu ya biashara hizi kutoka kwenu ndugu zangu natumai nimeleta wazo langu katika mikono salama.

Asanteni ndugu nangoja mawazo yenu nadhalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…