Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,Nina mwaka mmoja sasa katika hii Biashara.
Mimi Huwa nawapa vijana Pikipiki mpya FEKON Kwa MKATABA Wa miezi 11 au 12. Mahesabu ni 100,000/= Kila baada ya siku 10 yaani Kwa Siku ni hesabu ya 10,000/=.
Vijana wengine sio waaminifu na kweli hamna mtu mkamilifu Kwa asilimia 100% changamoto zipo anaweza kupata dharula, ajali, kuumwa au matatizo binafsi tu. Ambayo Kwa hizo siku 10 anaweza kukuletea 60K au 70K au 80K etc ila Hamna shida Huwa naandika kama deni ambalo baadae Mkataba ukiishi naongea nae Tena mezanii.
Ni Biashara nzuri Kwa maana FEKON Moja inauzwa 2.3M Kwa Faida wewe Utapata sio chini ya 1M Kwa miezi 11 au 1.3M Kwa miezi 12. Ambayo ni sawa na faida ya 100,000/= Kwa Kila mwezi Kwa Pikipiki Moja.
Mwaka Huu nataka nijaribu Kwa kununua Pikipiki USED na nianze kuwapa vijana Pikipiki USED za 1.2M -1.5 Millions Kwa Mikataba ya miezi 7 mpka miezi 8. Ili nitengeneze Faida nyingi Kwa muda mchache na Kwa kutumia Hela ndogo badala ya kununua Pikipiki mpya ya 2.3M.
Changamoto zipo lakini usikate Tamaa, Kila Biashara inachangamoto zake.
Vijana wapo mtaani kwako ni swala la kupeana Mkataba mbele ya mashahidi wa pande zote mbili na Kwa kusainiwa na Mwenyekiti au Mjumbe Wa Kijiji/ mtaa husika.
Bro Nina Kazi yangu Kila mwezi napata Mshahara.Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
Kama upo kazini hiyo pesa 45k kwa siku inatosha Sana MkuuBro Nina Kazi yangu Kila mwezi napata Mshahara.
Hii Biashara ni kuongeza mzunguko wangu Wa Hela, Biashara zipo nyingi ningeamua kuacha kazi na kwenda kufanya hizo Biashara nyingine mtaani kama kufungua duka au kuuza bidhaa tofauti.
Ila nilihitaji Biashara ambayo inaweza kujisimamia yenyewe kipindi Mimi nikiendelea na mishe zangu za Kazini.
Mimi Kwa mwaka mmoja tu pekee nimefunga Pikipiki zaidi ya 15.
Kwa Pikipiki zangu 15 tu, Kwa Siku napata 150,000/= Kwa wiki Moja tu napata 1,050,000/= kwa mwezi mmoja pekee Kwa Pikipiki 15 napata REJESHO La zaidi ya 4,500,000/= Kwa Siku napata Faida ya zaidi ya 45,000/=🟩.
Kipindi napata hizi Hela zote Mimi nipo Ofisini naendelea na mishe zangu na mshahara mwingine nausubiria mwisho Wa Mwezi.
Kwa mahesabu ya Bro hapo juu Faida ya Pikipiki Moja ni 3300/= Kwa Pikipiki 15 tu ni Faida ya 49,500/= Kwa Siku Moja tu. Kwa mwezi mzima una faida ya 1,485,000/=.Kama upo kazini hiyo pesa 45k kwa siku inatosha Sana Mkuu
Hela nzuri hiyo mkuuKwa mahesabu ya Bro hapo juu Faida ya Pikipiki Moja ni 3300/= Kwa Pikipiki 15 tu ni Faida ya 49,500/= Kwa Siku Moja tu. Kwa mwezi mzima una faida ya 1,485,000/=.
Cheers [emoji1635]
mfano Mchoma mahindi anaingiza mpaka 15k per dayDaaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
C nichome mishkaki tu kama mchezaji wa zamani wa yanga nivute 50k as profit dailyHela nzuri hiyo mkuu
Mchoma mahindi ndio Hela anayoitegemea yupo hapo anachoma yeye mahindi.mfano Mchoma mahindi anaingiza mpaka 15k per day
Ni Biashara nzuri pia Ukipata hiyo Faida per day.C nichome mishkaki tu kama mchezaji wa zamani wa yanga nivute 50k as profit daily
na Kwa kusainiwa na Mwenyekiti au Mjumbe Wa Kijiji/ mtaa husika
Unaenda Kwa Mjumbe au Mwenyekiti wa anayepewa Pikipiki ya Mkataba (Makazi yake rasmi) ni lazima wao wamtambue na Kisha ndio waweke Saini ya Mkataba na mashahidi wake wakiwepo.Mwenyekiti wa mtaa husika ni wa wapi, hapa kwangu Bunju Sokoni au kwao Yombo Relini ?
Sasa kweli yaani pikipiki 15 ni sawa na milioni 34.5 unaona faida ya 49,500 kwa siku ni sawa kweli?!!Hapanaaa hiyo kwa hesabu za kibiashara ni hakuna kitu hapo!!Kwa mahesabu ya Bro hapo juu Faida ya Pikipiki Moja ni 3300/= Kwa Pikipiki 15 tu ni Faida ya 49,500/= Kwa Siku Moja tu. Kwa mwezi mzima una faida ya 1,485,000/=.
Cheers [emoji1635]
Hatukatai lakini biashara yenye afya nzuri ni ile ambayo faida inawiana na kiasi cha mtaji uliowekwa ili hata kesho biashara ikiyumba kutokana na akiba ya faida uliyonayo unaweza kukusaidia kusimama tena!!!kwa kuzingatia na risk iliyopo kwenye biashara husika.Ni Biashara nzuri pia Ukipata hiyo Faida per day.
Biashara zipo nyingi sana za kupata Faida zaidi ya 80K mpka 100K per day lakini hatujachagua kufanya hizo Biashara. Tumewekeza kwenye Biashara ambazo zitatupa Faida mdgo mdogo kipindi tukijipanga kuweka kikubwa zaidi.
Kipindi tukisema Faida ya 3300/= kwa bodaboda Moja ni ndogo wengine wanashindwa kuipata, hyo Hela.
Lakini wengine wakiendelea na shughuli zao za maofisini na huku mtaani wanaingiza Hela (Faida) sio mbaya kwao.
Sawa bro hebu nisaidie Biashara ya mtaji ya 30M unatakiwa kupata Faida ya kiasi Gani? Na REJESHO La per day unatakiwa kupata kiasi Gani?Hatukatai lakini biashara yenye afya nzuri ni ile ambayo faida inawiana na kiasi cha mtaji uliowekwa ili hata kesho biashara ikiyumba kutokana na akiba ya faida uliyonayo unaweza kukusaidia kusimama tena!!!kwa kuzingatia na risk iliyopo kwenye biashara husika.
Jiandae Kwa Hela za service za Kila mara, maana bodaboda anajua hiyo Pikipiki sio ya kwake na hawezi kuitunza Kwa umakini.Ushauri wangu kwako ukifanikiwa kununua hizo pikipiki usije kujaribu kutoa kwa mkataba maana baada ya mkataba kuisha hiyo pikipiki inakuwa sio mali yako tena.
Nunua pikipiki mpe kijana awe anakuletea pesa kila siku kama ikatokea akishindwa makubaliano unachukua pikipiki yako.
Ipo hivi ukimpa mtu pikipiki kwa mkataba, kwa siku anatakiwa awe anakuletea elfu 10 na kwa kawaida mkataba huwa ni miezi 13.
Pikipiki mpya unanunua kwa mil 2.8,kwa siku unaletewa elfu 10.
Elfu 10000*30=300,000.
300,000*13=3,900,000
3,900,000-2,800,000=1,100,000
Faida yako kwa miezi 13 ni mil 1.1
Ina maana kwa mwezi unaingiza 84,615/=
Kwa siku unaingiza elfu 2,820/=
Na hapo pikipiki inakuwa sio yako tena.
Unatoa mil 2.8 ili upate faida ya 2,820 kwa siku??? Nakushauri kimbia.
Wengi wanofanya hii biashara ni wavivu na wana upeo mdogo kufikiri.
NB:nunua pikipiki ila usitoe kwa mkataba, tafuta kijana awe anakuletea pesa kila siku akishindwa unachukua chombo yako
Mjumbe wa kwao Yombo Relini kasema dereva boda anamjua lakini mimi hanitambui.Unaenda Kwa Mjumbe au Mwenyekiti wa anayepewa Pikipiki ya Mkataba (Makazi yake rasmi) ni lazima wao wamtambue na Kisha ndio waweke Saini ya Mkataba na mashahidi wake wakiwepo.