mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Bado ni biashara kichaa,pikipiki 15 mtaji wake ni zaidi ya 30m then upate faida elfu 50 wakati hata duka la Mangi lenye mtaji wa milioni 5 anaweza kupata hiyo faida ya elfu 50 kwa siku.Kwa mahesabu ya Bro hapo juu Faida ya Pikipiki Moja ni 3300/= Kwa Pikipiki 15 tu ni Faida ya 49,500/= Kwa Siku Moja tu. Kwa mwezi mzima una faida ya 1,485,000/=.
Cheers [emoji1635]
Chukua 30m ingiza kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi hukosi faida ya Laki 3 kwa siku