Biashara ya Bodaboda

Mchoma mahindi ndio Hela anayoitegemea yupo hapo anachoma yeye mahindi.

Mm nafanya kazi yangu huku Kila siku nawekewa Hela kwenye Account yangu. Vijana wanapambana bila Mimi kusimamia wakijua hesabu Yao ni 10,000/= per day.
Wapo watu wanapenda kuwavunja wenzao moyo..
 
Akikujibu naomba unitagi please
 
hawa jamaa wanasikia tu kufanya hawajawahi hii biashara ukiiweza ni nzuri sana
 
kwenye pikipiki hapo ziandike plate number mfano MC 213 DKH itasaidia usizichanganye
 
kwenye pikipiki hapo ziandike plate number mfano MC 213 DKH itasaidia usizichanganye
Mkuu sio plate#, hizi pikipiki nimezinunua kwa kuzipishanisha miezi na mikataba itaanza kuisha kwa kufuata namba zao na piah majina yao yapo kwa chini
 
Kuna watu wanamaono Daah eti milioni 34 usiwekeze kwenye bodaboda. Kuna watu wananunua Scania mende 130 milioni na aningiza 300,000 kwa siku hapo service juu yake, kuna wenye Daladala 80,000 kwa siku service kwa bosi, mapato, Latra na mengneyo juu ya Boss.

Hakuna kitu kigumu mno kama kumantain biashara mfano hardware, nguo , spare part na nyenginezo zinahitaji ukaribu mno kuzifatilia sasa jamaa anapiga kazi zake anawezaje mudu hizo biashara.
 
Bro Kuna watu wanafikiria wanachofanya wao ndio wengine wafanye hikohiko.

Mtu anajenga nyumba ya milioni 20 na Kodi anakusanya 200,000/= Kwa mwezi sawa na 7,000/= Kwa Siku lakini hata hawazi kabsa anaona anachofanya ni sahihi. Na hapo anawaza kurudisha hiyo pesa baada ya Miaka 8.
 

Unapatikana wapi mkuu
 
Nahtaj mkataba na mm
Namba yangu 0713491359
 
NATAFUTA PIKIPIKI YA MKATABA
AU BAJAJ
NIPO KIMARA
0713491359
 
Sasa nyumba si unakusanya mpaka unakufa
 
well said bro
 
Sasa nyumba si unakusanya mpaka unakufa
Hapa concept ya watu walikuwa wanaangalia Hela uliyowekeza na FAIDA unayopata Kwa mwezi na Kwa Siku.

Kama ni kukusanya mpaka unakufa na kusubiria Faida baada ya Miaka 8 basi hamna tatizo kiongozi.
 
NATAFUTA PIKIPIKI YA MKATABA
AU BAJAJ
NIPO KIMARA
0713491359
Tafuta watu Wa hukohuko Kimara watakuunganisha na watu wanaotoa bajaji au Pikipiki Kwa mkataba. Sio rahisi mtu hakufahamu halafu akakupa Mkataba, wengi wanatoa Mkataba baada ya kujiridhisha Kwa Mwenyekiti wa Kijiji/mtaa akutambue na lazima na yeye awepo eneo husika iwe rahisi kufatilia baadhi ya mambo.
 
Sasa kweli yaani pikipiki 15 ni sawa na milioni 34.5 unaona faida ya 49,500 kwa siku ni sawa kweli?!!Hapanaaa hiyo kwa hesabu za kibiashara ni hakuna kitu hapo!!
Mimi pia sijaona biashara hapo, yani uwekeze 34.5M (pikipiki 15) kisha upate faida ya 45K per day?

Anyways kila mtu na maisha yake na namna anavyoona inafaa.
 
Nyie ndo wale motivation speaker kaz yenu kubwabwaja tu Lima matikiti heka sjui nn ingieni field kwa vitendo unakuta ata boda boda hujui ata kuziba pancha
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…