Biashara ya Bodaboda

Ebu fanya kumtag mtu yoyote unayemjua anauza pikipiki nzuri used
ukisearch humu utaziona,hata sikuwa na interest ya kuzifuatilia ila nakumbuka nilishawahi kuona matangazo miezi kadhaa iliyopita
 
Haikuzidi elfu 30, maana silo bomba. Sema Sasa hivi nafocus kwenye bajaji.
[emoji117]Napenda uwekezaji mfupi- mfano 1yr. Bajaji haizidi 3m. So kwa Mwaka unaeza calculate

Mkuu unaweza kunipa connection ya kupata pikipiki used
 
Nipo keko machungwa hapa muda huu Kuna mtu anadaiwa 900000 na mkataba ulikuwa inaisha wiki iliyopita na haonekani
 
Ili ufanikiwe katika maisha ufanye kile ambacho moyo wako unakiamini na Mjasiliamali yeyote hwawezi kudharau hela hata kama ina faida ndogo kiasi gani. Nina rafiki angu mmoja enzi hizo alikuwa anafanya biashara ambayo kila product anayouza ilikuwa inampa faida 200 lkn aliseam ni heri nipate mia mbili kila siku kuliko kusubiri 500 baada ya wiki.

Mungu sio athumani sasa hivi mtaji alionao sio wa viwango hivi. Kutoka milioni 9 hadi 35 ni zaidi ya mafanikio unahaki ya kujipongeza na kuongeza bidiii. Kama ingekuwa biashara isiyo na afya boda zote zilizojaa barabarani zisingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…