Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

Hiyo biashara kwa Tanzania itabuma .Ukienda nchi za Lesotho,Swaziland Botswana kwenye bucha unakuta watu wananunua wanajichomea wenyewe kwenye majiko hapo hapo buchani.Tanzania hupati mtu.Watanzania ghatama za kufuata hao samaki hawako tayari kugharimia mtu anaona heri anunue Marehemu samaki bucha ya samaki jirani.Culture ya customer ni kitu muhimu kuangalia.Hiyo biashara utashindwa.Ni Kama unavyoona supermakert nyingi Tanzania zinakufa sababu watanzania hawana supermakert culture Kama Wakenya.Mtanzania kujenga ujirani atanunua nyanya ,nk genge la jirani au sokoni hanunui supermakert .Mtanzania culture Yake kula samaki Marehemu ndio anapenda huyo hai wako Wala Sio motivation kwake ya kuchoma mafuta kupanda daladala au bodaboda kuwafuata huko waliko
Inakua ni bucha kama bucha zingine za samaki, na bei pia inakua Sawa na samaki wengine tofauti inakua tu kwenye uhai wa samaki.
 
Mkuu inaweza kuwa biashara nzuri sana kama itakuwa viable. Kwa sisi tuliokulia ziwani na sasa tuko mijini huku hiyo nitaweza kuwa mteja kabisa. Yaani samaki unamla mpaka unakaa chini kabisa.
Nashukuru mkuu. Karibu sana.
 
Inakua ni bucha kama bucha zingine za samaki, na bei pia inakua Sawa na samaki wengine tofauti inakua tu kwenye uhai wa samaki.
Kama wateja wako watakuwa majirani labda.Ila wanunuzi Wana nyodo utasikia Mimi sili kuku wa kisasa wa kufugwa mabanda ya kuku Wala samaki wa kisasa wa kufugwa kwenye mabwawa majumbani nataka wa Mwanza ndio maana wauzaji wengi hupenda kuuza maiti ya samaki Sokoni mteja atajijua mwenyewe kanunua samaki wa wapi.Sababu bucha linasomeka tunauza sato hapa.Halisemi wa kwenye bwawa au ziwani
 
Nashukuru mkuu nimepata kitu
 
Inakua ni bucha kama bucha zingine za samaki, na bei pia inakua Sawa na samaki wengine tofauti inakua tu kwenye uhai wa samaki.

Hapo ndio mwanzo wa kufilisika.., sababu wewe unauza kitu extra lazima na bei iwe extra.., kutokana na ushindani kama wauza samaki wameweka bei fulani ujue hapo faida ni asilimia kidogo.., sasa wewe mwenye gharama ya uzalishaji zaidi utake muwe bei sawa na wenye gharama ndogo za uzalishaji, huo ni mwanzo wa kugawa samaki bure
 
Sidhani kama garama zitatofautiana sana na wanaoweka kwenye friji sababu sitakua natumia friji so garama ya umeme itapungua na ndio itaenda kwenye garama ya kuwalisha kidogo pindi wapo buchani
 
Ni Bwawa au aquarium ? kumbuka samaki kama ni wengi oxygen kwenye maji haitoshi inabidi kuweka oxygen pump.., thus electricity.., pili kama unawatoa sehemu transportation lazima ifanyie haraka na kwa umakini kuepuka vifo.., all in all unatoa huduma extra ambayo hata ukichaji extra una sababu tosha za ku-justify bei yako
 
Hapa Tanzania huwezi kupata bucha ya samaki. Kama mwenzetu moja alivyosema ndo maana supermarkets zinakufa. Hatuna kabisa utamaduni wa kununua vitu/bidhaa kwenye supermarket. Botswana hata mwana kijiji ananunua mahitaji yake kutoka supermarket.
 
issue sio wanunuzi issue ni wauzaji ulaya supermarket wana mtaji mkubwa hence bei nafuu kuliko magengeni Bongo kwenda supermarket gharama (nothing to do with utamaduni)

Jamaa selling point yake itakuwa ni samaki fresh..., atapata wengi wanaotaka kitu fresh..., tatizo ni tofauti ya bei ikiwa kubwa sana itabidi target yake iwe watu wenye kipato kikubwa.., kwahio soko lipo akiweza kupata samaki fresh kwa affordable price...
 
Naona soko litakuwepo ni udhubutu tu ndio unatakiwa
 
Ndugu yangu wewe kama umeiona fursa endelea, siku ukija kutahamaki utakuta hiyo fursa watu walishaanza kitambo na wanapiga hela.kiukweli hiyo biashara kwa tz ni mpya nakushauri kama una hela anzisha pale Dodoma aquarium utapiga hela mbaya Mimi mwenyewe hilo wazo lipo sema nakosa mtaji tu.
'Utapiga hela mbaya' hiki kimsemo hiki bhana kinaponzaga wengi
 
Hiyo biashara kwa Tanzania itabuma .Ukienda nchi za Lesotho,Swaziland Botswana kwenye bucha unakuta watu wananunua wanajichomea wenyewe kwenye majiko hapo hapo buchani.Tanzania hupati mtu.Watanzania ghatama za kufuata hao samaki hawako tayari kugharimia mtu anaona heri anunue Marehemu samaki bucha ya samaki jirani.Culture ya customer ni kitu muhimu kuangalia.Hiyo biashara utashindwa.Ni Kama unavyoona supermakert nyingi Tanzania zinakufa sababu watanzania hawana supermakert culture Kama Wakenya.Mtanzania kujenga ujirani atanunua nyanya ,nk genge la jirani au sokoni hanunui supermakert .Mtanzania culture Yake kula samaki Marehemu ndio anapenda huyo hai wako Wala Sio motivation kwake ya kuchoma mafuta kupanda daladala au bodaboda kuwafuata huko waliko
Mkuu hapa umemueleza ukweli kabisa.
Akiupuuza huu ushaur atakuja kubuma mbeleni.
Watanzania culture yao ni kupenda vitu vya urahisi,shortcut na cheap price.
Huwa hawapendi extra costs kwenye business yoyote na extra costs huesabika Kama hasara kwa Watanzania.
Mtanzania anachotaka ukimwambia kilo ya samaki ni elfu tano Basi atatoka nyumbani kwake na elfu tano huku akijiwekea uhakika kwamba lazima atarudi na mzigo kwa elfu tano yake.
Na hii ndio kitu kinachowafanya wachukie Supermarket kwa sababu hakuna guarantee ya bei wanazoziwazia wao coz anything extra can happen because kwenye supermarkets Kuna mbwembwe mbalimbali ambazo zinaongeza costs.
Mfano mchele mtaani kwa kilo moja ya kupimwa kwenye mzani ni Sh.2000,Lkn ukienda Supermarket unaweza ukauziwa kwa 3000 kisa tu umepakiwa kwenye kifungashio kizuri.
 
Mimi nilianzisha hiyo bucha ya samaki hai. Wateja / watu wakifika wanaanza kukuuliza maswali juu ya samaki hao: chakula, dawa, matunzo etc na kuendelea kushangaa shangaa halafu wanatoka; wanaenda sokoni kununua samaki mfu. Ya kwangu ilikuwa kama banda la maonesho. Nakushauri uanzishe ili uone uzoefu utakuwaje huko kwako.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wabongo Wana vituko sana huwa ni wagumu sana kubadilisha mazoea yao.
 
Kama wateja wako watakuwa majirani labda.Ila wanunuzi Wana nyodo utasikia Mimi sili kuku wa kisasa wa kufugwa mabanda ya kuku Wala samaki wa kisasa wa kufugwa kwenye mabwawa majumbani nataka wa Mwanza ndio maana wauzaji wengi hupenda kuuza maiti ya samaki Sokoni mteja atajijua mwenyewe kanunua samaki wa wapi.Sababu bucha linasomeka tunauza sato hapa.Halisemi wa kwenye bwawa au ziwani
It's logical
 
Wiki iliyopita nilikua mkoa wa kagera kijiji cha kemachumu
kuna bar inaitwa blue fish hapo nilikula samaki kwa style hii. unachagua samaki kutoka kwenye ponds zen wanakutengenezea
 
Mkuu wazo lako ni zuri. Unachohitaji ni kuwa hawa samaki ujifugie mwenyewe. Na kwa hapa tz hawa samaki unaoweza kufuga ni sato na kambale.
 
Back
Top Bottom