- Thread starter
-
- #21
Inakua ni bucha kama bucha zingine za samaki, na bei pia inakua Sawa na samaki wengine tofauti inakua tu kwenye uhai wa samaki.Hiyo biashara kwa Tanzania itabuma .Ukienda nchi za Lesotho,Swaziland Botswana kwenye bucha unakuta watu wananunua wanajichomea wenyewe kwenye majiko hapo hapo buchani.Tanzania hupati mtu.Watanzania ghatama za kufuata hao samaki hawako tayari kugharimia mtu anaona heri anunue Marehemu samaki bucha ya samaki jirani.Culture ya customer ni kitu muhimu kuangalia.Hiyo biashara utashindwa.Ni Kama unavyoona supermakert nyingi Tanzania zinakufa sababu watanzania hawana supermakert culture Kama Wakenya.Mtanzania kujenga ujirani atanunua nyanya ,nk genge la jirani au sokoni hanunui supermakert .Mtanzania culture Yake kula samaki Marehemu ndio anapenda huyo hai wako Wala Sio motivation kwake ya kuchoma mafuta kupanda daladala au bodaboda kuwafuata huko waliko