Biashara ya butcher ya nyama ya ng'ombe

Biashara ya butcher ya nyama ya ng'ombe

Franky

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
2,270
Reaction score
2,844
Kwa wenye uelewa wa hii biashara naombeni inputs zenu. Nataka kuanza kwa kununua nyama kwa bei ya jumla machinjioni halafu nauza kwa bucha yangu.

Baadae niweze kujitanua niweze nunua ng'ombe mzima mwenyewe kwenye minada na kuchinja.

Location: Morogoro Ifakara.

Budget: million 4
 
Mill nne kubwa sana unaeza nunua hata ngombe ukiamua unataka butcher la style gan la kawaida au modern


Je una freezer? Au una uhakika wa kumaliza nyama kila siku?

Nafanya biashara ya samaki anza ukiona zinahitajika niambie nkutumie samaki
 
Mil 4 mbna nyingi sanaa kwa Butcher, unanunua ng'ombe mzima kabisaah
 
Back
Top Bottom