Ina tegemea ila una pata chanel nyngi zaidi tofauti tofauti...
tatzo linakuja pale ukiingilia biashara ya mtu bila ruhusa yake... mf. kutumia channel za azamtv, supersport nk wakati yeye ana zitumia pia kibiashara...
DStv mf. akikupigia idadi ya wateja ulio nao mf. 200 na ume onesha kwa miaka 5 na malipo ya chanel izo katk kifurushi husika mf ni 70000 sasa akipiga hesabu hapo... ni lazima uonekane ni muhujumu uchumi tu...