Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Ina tegemea ila una pata chanel nyngi zaidi tofauti tofauti...hiyo cable inakua na channel zipi
tatzo linakuja pale ukiingilia biashara ya mtu bila ruhusa yake... mf. kutumia channel za azamtv, supersport nk wakati yeye ana zitumia pia kibiashara...
DStv mf. akikupigia idadi ya wateja ulio nao mf. 200 na ume onesha kwa miaka 5 na malipo ya chanel izo katk kifurushi husika mf ni 70000 sasa akipiga hesabu hapo... ni lazima uonekane ni muhujumu uchumi tu...
jibu hapo atakudai 840,000,000/= kama sijakosea