Biashara ya car wash jijini dar es salaam.

Biashara ya car wash jijini dar es salaam.

b da best

Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
34
Reaction score
7
Jaman ningependa kujua mambo kuhusu biashara hii, changamoto na faida. Na gharama zake, uendeshaji ikiwa ni pamoja na maeneo mazuri yanayo lipa na gharama zake.
 
Back
Top Bottom