Kama 650000, mashine nilinunua kwa mtu, baada ya kutangaza group la whatsapp nikaunganishwa naeJumla mpk unaanza biashara ulitumia bei gani, na hizo mashine ulinunua wap
Kama 650000, mashine nilinunua kwa mtu, baada ya kutangaza group la whatsapp nikaunganishwa nae
Kwa sababu nilinunua used siwezi jua exactly utauziwa sh. Ngap ila kwa makadilio pressure pump unaweza Pata Kati ya 250000-350000Nashukuru
Itakuwa vzur kama utanipa mchanganuo wa gharama (hata makadirio tuu) kwa hivyo vitu ulivyonitajia
Nashukuru mkuu, nimepata mwangaKwa sababu nilinunua used siwezi jua exactly utauziwa sh. Ngap ila kwa makadilio pressure pump unaweza Pata Kati ya 250000-350000
Vacum 200000-300000
Hela ya kupanga(itategemeana na sehemu) 25000-75000
Vitambaa mi nianza na vitenge nadhani utapata kiurahisi
Tank dogo mi nilinunua used kwa 30000 (saiz ninalo kubwa)
Na cost ndogo ndogo ambazo unaweza mudu(japo mi niliziua kwa kufanya vitu vingi mwenyewe kama kufunga tank)
Fursa hizi tujitahidini jamaniNashukuru mkuu, nimepata mwanga
Kabisa mkuuFursa hizi tujitahidini jamani
Fanya kweli mkuu achana na mbovuSafii hii nami imenitia moyo maana humu jf unaweza kuwa na jambo la msingi akaja mtu kukuambia mbovu
Fanya kweli mkuu achana na mbovu