Biashara ya car wash

Biashara ya car wash

Nashukuru
Itakuwa vzur kama utanipa mchanganuo wa gharama (hata makadirio tuu) kwa hivyo vitu ulivyonitajia
Kwa sababu nilinunua used siwezi jua exactly utauziwa sh. Ngap ila kwa makadilio pressure pump unaweza Pata Kati ya 250000-350000
Vacum 200000-300000
Hela ya kupanga(itategemeana na sehemu) 25000-75000
Vitambaa mi nianza na vitenge nadhani utapata kiurahisi
Tank dogo mi nilinunua used kwa 30000 (saiz ninalo kubwa)
Na cost ndogo ndogo ambazo unaweza mudu(japo mi niliziua kwa kufanya vitu vingi mwenyewe kama kufunga tank)
 
Nashukuru mkuu, nimepata mwanga
 
Nawaambieni ndugu zangu tu jitahidi kuanza na kidogo tulicho nacho, tusikatishwe tamaa na watu. Kujuana na watu(connection) ni kitu muhimu inafanya urahisi wa kupata vitu mana kuna watu ukiwapigia unatafuta eneo wanakufanyia mpango au kukuunganisha na mtu mwingine, ukitafuta mashine pia watakuunganisha au watakuuzia kama wanazo. Inafanya urahisi wa kupata vitu
 
Safii hii nami imenitia moyo maana humu jf unaweza kuwa na jambo la msingi akaja mtu kukuambia mbovu
 
niseme tunashukuru. kwa mrejesho ulotupatia na vile umetutia moyo, uthubutu wa kuanza ni kitu muhimu sana
 
Back
Top Bottom