Biashara ya car wash

Biashara ya car wash

stupid255

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
27
Reaction score
34
Wadau mwezi wa saba mwaka huu nilikua katika harakati za kuanzisha biashara ya car wash. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya research sehemu mbali mbali hasa humu JF na kwa watu mbali mbali ambao walishanza kufanya. Nilikua na hela ndogo Sana kama laki 7 hivi. Katika kuhangaika hapa na pale nikawa naona mijadala ambayo ilikua inaonyesha kwamba pesa nyingi sana inahitajika nikataka nikakata tamaa. Sasa nikaamua kutembea kimtaa mtaa nikaanza kutafuta kitu hasa vile vya muhimu kama vacum na pressure kwa kutafuta kwa watu (used) nilisota mpaka kama mwezi wa nane hivi nikapata vacum moja na pressure moja. Nikapata eneo la kawaida Sana pale madale saiz business iko poa Kwa vitu hivyo viwili tu. Sisemi kwamba kila mtu anaweza fanikiwa, kwa kufanya hivyo bila bora kujaribu kuliko kudhani kwamba unahitaji vitu vingi au pesa kubwa.

Mjini vitu vingi vinawezekana ila ni kukosa muunganiko na watu wenye uzoefu wa hivyo vitu.
 
Tupe ushuhuda umefanikiwa kiasi gani mkuu maana wengi husema inahitaji mamilioni kuanzisha car wash
 
Wadau mwezi wa saba mwaka huu nilikua katika harakati za kuanzisha biashara ya car wash. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya research sehemu mbali mbali hasa humu JF na kwa watu mbali mbali ambao walishanza kufanya. Nilikua na hela ndogo Sana kama laki 7 hivi. Katika kuhangaika hapa na pale nikawa naona mijadala ambayo ilikua inaonyesha kwamba pesa nyingi sana inahitajika nikataka nikakata tamaa. Sasa nikaamua kutembea kimtaa mtaa nikaanza kutafuta kitu hasa vile vya muhimu kama vacum na pressure kwa kutafuta kwa watu (used) nilisota mpaka kama mwezi wa nane hivi nikapata vacum moja na pressure moja. Nikapata eneo la kawaida Sana pale madale saiz business iko poa Kwa vitu hivyo viwili tu. Sisemi kwamba kila mtu anaweza fanikiwa, kwa kufanya hivyo bila bora kujaribu kuliko kudhani kwamba unahitaji vitu vingi au pesa kubwa.

Mjini vitu vingi vinawezekana ila ni kukosa muunganiko na watu wenye uzoefu wa hivyo vitu.
Mkuu naona uneitoa kama mrejesho, sasa natamani nijifunze kwako, unaweza kutoa ABC?
 
Kikubwa unahitaji pressure pumb na vacum na vitamba kwa ajili ya kufutia. Na cha muhimu kuliko vyote ni uaminifu mana Wateja wanaacha vitu vyao hovyo ukiwa na mkono mrefu au kijana wako akiwa na mkono mrefu business inakufa chap
 
Ukisikiliza maneno ya humu hautapiga hatua

wengine humu hawana hata Idea na jambo fulani lakini kwa vile yupo mafichoni atacomment lolote!

Hongera mkuu,
Mbona kuna wanaosha na ndoo zao tu na vitambaa!!
Wanao osha kwa ndoo na vitambaa ndo walinitia moyo, nikaona inawezekana kabisa yani
 
Hivyo vifaa viwili ulinunua kwa bei gani?

Vikiwa vipya huuzwa shilingi ngapi
 
Wadau mwezi wa saba mwaka huu nilikua katika harakati za kuanzisha biashara ya car wash. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya research sehemu mbali mbali hasa humu JF na kwa watu mbali mbali ambao walishanza kufanya. Nilikua na hela ndogo Sana kama laki 7 hivi. Katika kuhangaika hapa na pale nikawa naona mijadala ambayo ilikua inaonyesha kwamba pesa nyingi sana inahitajika nikataka nikakata tamaa. Sasa nikaamua kutembea kimtaa mtaa nikaanza kutafuta kitu hasa vile vya muhimu kama vacum na pressure kwa kutafuta kwa watu (used) nilisota mpaka kama mwezi wa nane hivi nikapata vacum moja na pressure moja. Nikapata eneo la kawaida Sana pale madale saiz business iko poa Kwa vitu hivyo viwili tu. Sisemi kwamba kila mtu anaweza fanikiwa, kwa kufanya hivyo bila bora kujaribu kuliko kudhani kwamba unahitaji vitu vingi au pesa kubwa.

Mjini vitu vingi vinawezekana ila ni kukosa muunganiko na watu wenye uzoefu wa hivyo vitu.
hongera sana mkuu, maji vp?? unapata wapi
 
Pressure nilinunu laki 250000 ikiwa mpya kama ile laki Sita na vacum lak 200000 ikiwa mpya sijui ila nadhani ni expensive zaidi ya hapo
Jumla mpk unaanza biashara ulitumia bei gani, na hizo mashine ulinunua wap
 
Kikubwa unahitaji pressure pumb na vacum na vitamba kwa ajili ya kufutia. Na cha muhimu kuliko vyote ni uaminifu mana Wateja wanaacha vitu vyao hovyo ukiwa na mkono mrefu au kijana wako akiwa na mkono mrefu business inakufa chap
Nashukuru
Itakuwa vzur kama utanipa mchanganuo wa gharama (hata makadirio tuu) kwa hivyo vitu ulivyonitajia
 
Back
Top Bottom