Biashara ya Catering Service

Biashara ya Catering Service

Faithful wife

Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
18
Reaction score
1
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya muda mrefu.naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience ya hii biashara nataka hasa kujua changamoto zake. Asanteni
 
Ni wazo zuri sana, na mara nyingi hii biashara inaendana na vitu kama
1. Population ya eneo husika

2. Economic activities ya eneo husika

3. Status ya watu wa eneo husika

4. Na miundo mbinu kwa ujumla

so unahitajika kungalia unawalenga watu wa aina gani, na kwa sababu ya competition vile vile unaweza kuwa mbunifu zaidi make ni lazima ujiulize unaanzisha Cateringso ni kwa nini watu waje kwako na si ka wengine? ukiweza kujibu sbabu ya kwa nini watu waje kwako, basi utafnikiwa,
 
Asante sana kwa ushauri wako ntaufanyia kazi ila swala la ubunifu nadhani ndio muhimu zaidi ili kuvuta wateja
 
strategy nyingine ni kwamba ujitahidi uwe mwanakamati ktk harusi mbalimbali ili uweze kuchukua tenda ya chakula kiurahisi. So usiwe bahiri wa kuchangia harusi, teh teh teh!
 
strategy nyingine ni kwamba ujitahidi uwe mwanakamati ktk harusi mbalimbali ili uweze kuchukua tenda ya chakula kiurahisi. So usiwe bahiri wa kuchangia harusi, teh teh teh!

Thank you ni ushauri mzuri pia nitaanza kuuzulia kwa ukaribu hivyo vikao
 
Ni biashara nzuri sana kufanya hasa kwa wewe ambaye ni mama wa nyumbani.go go go for it(kusema mama wa nyumbani sababu utakuwepo kusimamia)
 
Kwa uzoefu zaidi nikuunganishe na mdau mmoja anakampuni yake akuingize class kwa vitendo ila atakucharge kissing fulani chat pexa mtakubaliana.
 
Back
Top Bottom