Faithful wife
Member
- Apr 7, 2012
- 18
- 1
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya muda mrefu.naomba ushauri kwa yeyote mwenye experience ya hii biashara nataka hasa kujua changamoto zake. Asanteni