Faithful wife
Member
- Apr 7, 2012
- 18
- 1
Ni wazo zuri sana, na mara nyingi hii biashara inaendana na vitu kama
1. Population ya eneo husika
2. Economic activities ya eneo husika
3. Status ya watu wa eneo husika
4. Na miundo mbinu kwa ujumla
so unahitajika kungalia unawalenga watu wa aina gani, na kwa sababu ya competition vile vile unaweza kuwa mbunifu zaidi make ni lazima ujiulize unaanzisha Cateringso ni kwa nini watu waje kwako na si ka wengine? ukiweza kujibu sbabu ya kwa nini watu waje kwako, basi utafnikiwa,
strategy nyingine ni kwamba ujitahidi uwe mwanakamati ktk harusi mbalimbali ili uweze kuchukua tenda ya chakula kiurahisi. So usiwe bahiri wa kuchangia harusi, teh teh teh!