Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ila haki ya Mungu mjini kwa sasa wanaume wenye nguvu zilizotosha kabisa ni wachache sana aiseeHatimaye wanaume wa Dar wataacha kulalamika heshima kurejea...[emoji12] [emoji12]
Hii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usikuUtengenezaji na uuzaji wa chapati hasa mida ya jioni ni biashara inayokua kwa kasi.
Mda si mrefu biashara hii itaipiku biashara ya kukaangiza chips.
Usishangae wa humu jf wakakununia right now....[emoji13] [emoji13]Ila haki ya Mungu mjini kwa sasa wanaume wenye nguvu zilizotosha kabisa ni wachache sana aisee
Duh... Kumbe tuko wengi tunaogonga chapati!Kwa mm mpenz wa chapati nimeshaliona hilo siku nyingi hapa mtaani kwangu wauza chapati wameshafika 6 na bado zinaisha haraka.
Njoo kwangu pm bibie hutojutaIla haki ya Mungu mjini kwa sasa wanaume wenye nguvu zilizotosha kabisa ni wachache sana aisee
acha dharau bwana mimi ni miongoni mwa wanaume wenye nguvu tuliobakia mjiniNjoo kwangu pm bibie hutojuta
Samahani mkuu sikujuaacha dharau bwana mimi ni miongoni mwa wanaume wenye nguvu tuliobakia mjini
haina manoma mzee babaSamahani mkuu sikujua
Kitu cha rolexHii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku
Samaki ama kipande cha samaki?Usiku
Chapati mbili+supu bila nyama=1000
Mchana
Wali Maharage+samaki=1500
Asubuhi
Chai+mihogo=500
Total=3000,Mshahara 200000,akiba 100000@mwezi*12=investment kumbe maisha rahisiiii!