Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Wanaziita rolex kule nadhaniHii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaziita rolex kule nadhaniHii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku
Kweli aisee.kampala wanakula sana chapatiHii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku
....Aisee kuna dogo alianza kama utani chapati, maandazi, maharage...maeneo ya mburahati, nimepita juzi yuko njema na ameajiri wasaidizi 5. Maharage daily anamaliza debe nne, bado supu, mishikaki etc...vyote hivyo vinaenda na chapati...halafu wale wanawake wavivu anawachemshia maharage wananunua na kwenda kuunga wenyewe home...Utengenezaji na uuzaji wa chapati hasa mida ya jioni ni biashara inayokua kwa kasi.
Muda si mrefu biashara hii itaipiku biashara ya kukaangiza chips.
....Duuh mkuu namjua huyuWapi binti mtonga mpika chapati maarufu ya kilwa masoko
mkuu lakini chapati zao ziko advanced kidogo....zinaitwa rolex..ni mchanganyiko wa kachumbari mayai na chapati..ina andaliwa kitalaamu sana..ukila chapati mmoja tayari tumbo limeshiba....Hii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku