Biashara ya chapati inakuja kwa kasi; Kuipiku biashara ya viepe!

Biashara ya chapati inakuja kwa kasi; Kuipiku biashara ya viepe!

Utengenezaji na uuzaji wa chapati hasa mida ya jioni ni biashara inayokua kwa kasi.

Muda si mrefu biashara hii itaipiku biashara ya kukaangiza chips.
....Aisee kuna dogo alianza kama utani chapati, maandazi, maharage...maeneo ya mburahati, nimepita juzi yuko njema na ameajiri wasaidizi 5. Maharage daily anamaliza debe nne, bado supu, mishikaki etc...vyote hivyo vinaenda na chapati...halafu wale wanawake wavivu anawachemshia maharage wananunua na kwenda kuunga wenyewe home...
 
Hii biashara imetawala sana ktk jiji LA Kampala hasa mida ya usiku
mkuu lakini chapati zao ziko advanced kidogo....zinaitwa rolex..ni mchanganyiko wa kachumbari mayai na chapati..ina andaliwa kitalaamu sana..ukila chapati mmoja tayari tumbo limeshiba....
Umenikumbusha mbali sana.....Yaani ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom