Biashara ya chips Dar

Biashara ya chips Dar

Heart Wood.

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
982
Reaction score
1,179
Wakuu Amani kwenu..

Tumejipanga na kujidhatiti kwa ajili ya kutoa huduma bora na safi kwa kwa kiwango kizuri.

Si huduma nyingne Bali ni Chips kuku, chips mayai, chips Mishikaki, na vikorombwezo vingine kama kachumbari safi yenye kiwango.

Tunawajali wateja wetu kwa kutumia special take away na siyo mifuko ya plastic..

Changamoto tuliyonayo ni kupata kijiwe kilichochangamka hapa Dar.

Kama kuna mwenye kujua sehemu Nzuri kwa ajili ya shughuli hii tutashukuru sana.

Itapendeza zaidi kama sehemu husika itakuwa ndan ya wilaya ya Temeke hasa Mbagala. Lakini, hata mahali kwingine ikipatikana hapa Dar itapendeza tu, tupo tayari kufanyia kazi mahali popote kikubwa pawe pamechangamka.
 
kamanda we sio from dar?
Hahaha...najua hata mikoani kuna watu wanaishi kama hao mnaosema ni wanaume Dar!!! Pia Dar kuna watu wako vizuri kuliko Wa mikoani...ila kwa majibu haya siyo kwamba mimi ni mwanaume Wa Dsm au siyo Wa Dsm.
 
ahahahaha,mkuu turejee kwenye mada kama wewe ni wa dar,mpe ramani mleta uzi.
 
Back
Top Bottom